Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Tena ya ukwaju[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Juisi??
Si umeiona [emoji1787]
Tena ya ukwaju[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Juisi??
Na mnyama sauliTutakodi Imani Plus au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona Abiudi ndio Baba mkwe[emoji1787][emoji1787]
Mbona sijaona juice?Tena ya ukwaju
Si umeiona [emoji1787]
Saint AnneNdio Anne aliweka mida ile ulikuwepo around muda fulani hivi
Ni kujaribu kutafuta utetezi wa hujuma zako[emoji19]
Unabahati hajakutolea lugha mbaya mimi kuna mmoja alinipigia simu ana lalamika amekosea namba ameweka pesa kwenye Account yangu nikiwa namsikiliza ghafla nikashangaa ana nitukana why simjibu😬Kuna tapeli amenipigia simu
Kweli maisha ni magumu mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa sijui anataka kunitapeli nini wakati hela sina.
Nimemsikiliza weee Hadi mwisho nikamwambia asihangaike sana mimi hela sina.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unabahati mimi kuna mmoja alinipigia simu ana lalamika amekosea namba ameweka pesa kwenye Account yangu nikiwa namsikiliza ghafla nikashangaa ana nitukana why simjibu[emoji51]
😂😂 wajinga sana kwa roho gani akupe dili hakujui mimi huwa najiuliza huwa wanapata wapi namba[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa namjibu hadi mwisho
Namuuliza nani,?
Kanitajia jina hata silijui..
Namuuliza ndio nani anasema hunikumbuki?
Mimi ni Fulani Fulani
Nikaona nimsikilize,
Anauliza Niko wapi nikamtajia.
Anasema yeye yuko mahala fulani,anafanya kazi huko na kampuni gani sijui [emoji1787]..anatafuta mashine..
Hizo machine Mbeya wanauza bei rahisi kwahiyo amenipa dili ili tupige Hela..
Ataniunganisha na mtu,huyo anaziuza mashine...nimpigie aniuzie halafu kwenye risiti aandike hela pungufu[emoji23]inayobaki juu tunagawana.
Nikipiga nimwambie kaka Daudi amenipa namba
Anauliza nikutajie namba??
Nikamwambia nitumie kwenye msg..
Akatuma,akapiga Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Mimi.
Weeeeehhhh mi naona ya jana usiku ulinoga hatari!Nikivaa suruali au bukta, ndo u skeleton haupo, ila kwa picha ile ya jana ni msukulee kabisaa, mifupa nje nje khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu nione afu nikwambie 😎Nikivaa suruali au bukta, ndo u skeleton haupo, ila kwa picha ile ya jana ni msukulee kabisaa, mifupa nje nje khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]Kama mama jusi wakifuata nyota ya mashariki,,hizo pigo sioHamtaki pigo za kina Abiudi (kwa Sauti ya Billi)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ungekaribia sasa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Mate yananitoka hapa!!
Pole kwa unayopitia,hope utakuwa sawa..anaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano