Weee!!!mpk raha yaani mwanaume wajiskia fahari mnoo kua na huyo mke, hakuna kitu wanaume wanapenda kama maelewanao kati ya mwinga na mama.Kanuni za ndoa
Mheshimu mama alokuzalia mumeo maana bila yeye huyo mume usingempata na ni mama yako..
Wasukuma ukiwa sio mnyimi watakupenda sana wape chakula mda woootee yaani hapo utawashika haswaaaa!!!
Maneno maneno madogo madogo nayo sio mazuri yaani hayo ndo chanzo cha vurugu
Kununa Nuna mtoto wa kike nako kwa wasukuma hutakaa asehhm
Maana ni wakarimu mnooo!!!
Sent from my Infinix X559C using
JamiiForums mobile app