Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mukwano🟥
Screenshot_20220317-071225.jpg
 
😀😀😀😀... mcheki Mshana Jr atumie utaalamu wake uzikute kwenye mkoba

Upload mwanzo mwanzao lazima iwe kubwa kuliko download.. kuna siku nilianglia history ya account moja hadi nilichoka.. upload $ 10,000+ download sasa hii hadi ushunguuuu.. but king'ang'azi na kuto kata tamaaa.. ingia bwanaaa weka ka. mzigo ambapo roho haito uma hata kakienda na maji 😀😀😀
🤣🤣🤣🤣 Hizo za Mshana Jr sizitaki aise.🙉 Mambo yanaweza kuwa mengi ghafla 🙄

Safi sana!👊🏾👊🏾
Ila hiyo ndio raha ya kujua unachokifanya. Hata siku mambo yasipokuwa mazuri sana bado unajua ukikomaa kitaeleweka tu. Ila acha kunishawishi maana hata hako ambako nikiweka roho haitouma bado itauma mpaka nirudi kukulilia. 😁
 
😀😀😀😀😀 ukipoteza nitapitisha bakuri kwenye team yetu tukuchangie urudishe ulichopotezaaa.. never give up hata uanguke mala ngapi
 
Back
Top Bottom