Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaua cooling system na CPU bro, weka tarikishi mpakato juu ya kitu ka mbao au plastic na sio juu ya godoro au kochi

Nimekusoma mkuu.....ila ukweli ni kwamba toka nimeanza kutumia Laptops(miaka 15+) ago karibia zote zinakufa kwa tatizo la feni tu na cpu(thermal breakdown) na tatizo kubwa sumtym ni uvivu tu wa mpk kukitafuta hicho kiwekeo cha chini.....so leo nilivyoweka tu nikajicheka ndo nikasema ngoja nipige picha nitoea somo. Hence hio quote "bingwa wa kuharibu PC".....

Cheers lad...and thank you
 
Evolution
1572193138718.jpeg
 
Kuna jamaa mmoja tulikuwa tunamuita "bingwa wa kupakata"...

Wakati wa winter seasons unampata yupo kitandani na kilaptop chake, winters zilikuwani holidays sasa hapo yupo busy kudownload torrents, stream soccerna kuwatch movies...

Anaweza asile hata siku ye ni snacks tu, laptop na blanket...

Back
Top Bottom