Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,202
Kuna jamaa mmoja tulikuwa tunamuita "bingwa wa kupakata"...
Wakati wa winter seasons unampata yupo kitandani na kilaptop chake, winters zilikuwani holidays sasa hapo yupo busy kudownload torrents, stream soccerna kuwatch movies...
Anaweza asile hata siku ye ni snacks tu, laptop na blanket...
Kipindi cha baridi halafu niwe likizo ndio ratiba yangu. Blanketi, snacks + movies/series basi.



