Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HakiiiiiHuaminiki![]()
HakiiiiiHuaminiki![]()
Nani kafuta picha mkuu?Huu uzi mbona picha zinafutwa..Kuna shida gani??
Nyingi tu zimefutwa..Acha usela..Nani mkuu?Nani kafuta picha mkuu?
@Sakayo ndio bingwa wa kufuta.Nyingi tu zimefutwa..Acha usela..Nani mkuu?



Sakayo nimeiona ya kanisani..I wish nijue anasali wapi na mi niongeze idadi ya wahudhuriaji..@Sakayo ndio bingwa wa kufuta.
Mkuu hivi kukuita hivyo ni usela![]()
Maana yake napendaAm sorry dear![]()

@Sakayo ukuje umjibu huyu bazazi unaposalia.Sakayo nimeiona ya kanisani..I wish nijue anasali wapi na mi niongeze idadi ya wahudhuriaji..
Huu Uzi baada ya miezi miwili tutarajie kutamalaki kwa nyuzi zenye vichwa vifuatavyo..
1. Wanaume wote Ni sawa tu mxiiiiiieeewwww
2. Amenigegeda akaniacha
3. Wanawake punguzeni kudanga mtatuua
4. Sitasahau alichonifanyia yule hayawani baada ya kwenda kwake.
5. Wanawake tujifunze kutokana na makosa
6. Hivi wanawake wa Dar mtaacha njaa lini ??
Yetu Macho Tu.
Una miguu mizuriii..do like what my name says
Teh teh..Huu mwaka naona naumaliza vibaya..Sio kwa majina hayo..@Sakayo ukuje umjibu huyu bazazi unaposalia.
Niite bingwa wa kuharibu laptop kwa kuweka kitandani. Jumapili tulivu Movies + Maziwa ya mgando( Super Charge) wakat nasubiria afikeView attachment 1246355
Sawa Sawa ikipata heat hy,ataimba haleluyaUnaua cooling system na CPU bro, weka tarikishi mpakato juu ya kitu ka mbao au plastic na sio juu ya godoro au kochi
Sawa Sawa ikipata heat hy,ataimba haleluya
HahahahaIla acha waziharibu tu, mafundi nao wapate mtonyo
Ndio maana nakupenda.
Kumbe ndio maana yangu ilikufaUnaua cooling system na CPU bro, weka tarikishi mpakato juu ya kitu ka mbao au plastic na sio juu ya godoro au kochi


