Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,746
- 182,832
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Em thubutu kunialika na mimi basi
Sithubutu kukutwa na bwana pepsi.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Em thubutu kunialika na mimi basi
Mie Leo nilivaa ya kushikilia kabisa [emoji23]View attachment 1246341
Saivi niko singoSasa mbona kama ni hivi una macrush kibaaaaao[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kwa nini ushikilie totoMie Leo nilivaa ya kushikilia kabisa [emoji23]View attachment 1246341
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dooh nimevua kitenge changu ndo nikakumbuka kupiga picha eti
Sawa dearHaina shida; muwe mnaninunulia tu me nijinome.
[emoji39][emoji39][emoji39]
Niite bingwa wa kuharibu laptop kwa kuweka kitandani[emoji23][emoji23]. Jumapili tulivu Movies + Maziwa ya mgando( Super Charge) wakat nasubiria afikeView attachment 1246355
Chizaz!! Sijui nani anaibiwa hapa[emoji134][emoji134][emoji1787][emoji134]Saivi niko singo
Baridi asubuhi ikabidi nivae ndefu 😂Kwa nini ushikilie toto
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahah rangi nyeusi ipo wapi? Mbona ni nyeupe hiyo.
HallelujahBaridi asubuhi ikabidi nivae ndefu [emoji23]
AuntieChizaz!! Sijui nani anaibiwa hapa[emoji134][emoji134][emoji1787][emoji134]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Niite bingwa wa kuharibu laptop kwa kuweka kitandani[emoji23][emoji23]. Jumapili tulivu Movies + Maziwa ya mgando( Super Charge) wakat nasubiria afikeView attachment 1246355
Huaminiki[emoji134][emoji134][emoji134]Auntie
Siku utakayoniamini nakupa mirinda nyeusi
Asipofika unalo