[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Transcend ukuje huku maana hizi dear dear hata sizielewi.
Hivi wewe ni wa kuomba ruhusa kweli[emoji134][emoji134][emoji134]..hako pia ni kamsemo unakapenda. Hivi naruhusiwa kuja kukusalimia? Halafu nione unafanyaje now!!![emoji1787]
MmmhhhYa kule Namtomboo[emoji3][emoji3]
Nishakula mahari mimi, sitaki utani wakati hata mia ya kurudisha sina[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa uchochezi huoo haki auntie
Teh teh teh! Unanivimbisha bichwa tu hapa!!
I know you know[emoji3590][emoji179]
..and I know you know I [emoji7]. Basi tu unajichetua...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti najichetua[emoji134][emoji134]
Nawazooom tuu mimi jamaniHivi wewe ni wa kuomba ruhusa kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
Utapata tuu auntieNishakula mahari mimi, sitaki utani wakati hata mia ya kurudisha sina[emoji134][emoji134]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Mdogo wako!!!! Nimesoma vizuri au[emoji134][emoji134][emoji134]
Shindwaaaa!Utapata tuu auntie
Natafuta makazi ya kudumu, nataka kurudi nyumbani. Home sweet home[emoji39]Nawazooom tuu mimi jamani
Zinaua nguvu hizo, utakuwa kama wanaume wa Rombo.Hahaha mpka hizi nyagi ziishe mbona leo utakua hadi mwanangu [emoji23][emoji23]
Naomba ruhusa live hapa ili nikiingia huko nina 50-50 chance ya kurudisha koloni langu.Hivi wewe ni wa kuomba ruhusa kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Natafuta makazi ya kudumu, nataka kurudi nyumbani. Home sweet home[emoji39]
Wale walokumbuka kusali,ndo tunatokea kwa church!View attachment 1246106
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alikudanganya, tena usikubali kudanganywa!!
Kumbe ndio nia yako humu[emoji134][emoji134][emoji134]Huu Uzi baada ya miezi miwili tutarajie kutamalaki kwa nyuzi zenye vichwa vifuatavyo..
1. Wanaume wote Ni sawa tu mxiiiiiieeewwww
2. Amenigegeda akaniacha
3. Wanawake punguzeni kudanga mtatuua
4. Sitasahau alichonifanyia yule hayawani baada ya kwenda kwake.
5. Wanawake tujifunze kutokana na makosa
6. Hivi wanawake wa Dar mtaacha njaa lini ??
Yetu Macho Tu.