Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Chumba chako nilivunja nikafanya wardrobe. Hivyo utalala sebuleni ukirudi.

Hebu kwanza uweke hiyo kambo sawa kama sio wewe unahusika basi muombe sana Mungu akufanyie wepesi.
Nitalala hata nje[emoji23][emoji23][emoji23].
Sio mimi.. Mimi ni mweupe halafu pia unajua nguo za hivo sivai.
Acha nimuombe Mungu tuu.
 
Nitalala hata nje[emoji23][emoji23][emoji23].
Sio mimi.. Mimi ni mweupe halafu pia unajua nguo za hivo sivai.
Acha nimuombe Mungu tuu.
Uko kama mimi, nikivaa hivyo sivuki mlango wa chumbani, sijui ndio ushamba[emoji134][emoji134][emoji134]

Nilimaanisha kama sio wewe unahusika na sumbai kuchepuka. Si unajua wanasemaga sisi ndio chanzo.
 
Kumbe wewe ndio umenirisisha ushamba wako eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sihusiki bhana ni vile wanaume hata ukimpa nyama kila siku atakula mifupa tuu[emoji23]
 
Kumbe wewe ndio umenirisisha ushamba wako eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sihusiki bhana ni vile wanaume hata ukimpa nyama kila siku atakula mifupa tuu[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hapa ni umempa mifupa katafuta nyama.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Huu Uzi baada ya miezi miwili tutarajie kutamalaki kwa nyuzi zenye vichwa vifuatavyo..

1. Wanaume wote Ni sawa tu mxiiiiiieeewwww
2. Amenigegeda akaniacha
3. Wanawake punguzeni kudanga mtatuua
4. Sitasahau alichonifanyia yule hayawani baada ya kwenda kwake.
5. Wanawake tujifunze kutokana na makosa
6. Hivi wanawake wa Dar mtaacha njaa lini ??

Yetu Macho Tu.
Hahaha leo hamshindi[emoji3][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Back
Top Bottom