Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,206
Haya lete mkoba nikushikie ukapigane.Ndio maana nakupenda.
Kuniita kwenye mambo ya msingi kama haya dada.
Haya lete mkoba nikushikie ukapigane.Ndio maana nakupenda.
Kuniita kwenye mambo ya msingi kama haya dada.
@Transcend ndio wa 4.Hehehe, huyo wa nne ambaye ni nani?
Wewe unataka nikang'olewe meno.Haya lete mkoba nikushikie ukapigane.
Kumbe ndio maana yangu ilikufa![]()
Kwakweli dada mimi sijui. Ukiona nimefungisha na kurudi nyumbani ujue sababu ni mambo kama haya.
Si ndio maana nimeshangaa, mdogo wangu nakujua ni mbavu moja, sasa huyo baunsa sumbai katoka nae wapi?
Shukrani kwa somo bachela sugu.Yeah, unalimit process ya heat exchanging...
Kawaida ndani ya tarakishi kuna fan inayopoza CPU kwa mtindo wa kulitoa joto lililopo ndani liende nje, sasa unapoiweka juu ya godoro unazuia huo mzunguko wa hewa maana godoro sio conductor mzuri wa joto zaidi ni kama thermal insulator fulani hivi...
Hahahahahaha@Sakayo ukuje umjibu huyu bazazi unaposalia.
Karibu kanisani kwetuSakayo nimeiona ya kanisani..I wish nijue anasali wapi na mi niongeze idadi ya wahudhuriaji..
Chumba chako nilivunja nikafanya wardrobe. Hivyo utalala sebuleni ukirudi.Kwakweli dada mimi sijui. Ukiona nimefungisha na kurudi nyumbani ujue sababu ni mambo kama haya.
Natafuta ile niifutee siionii@Sakayo ndio bingwa wa kufuta.
Mkuu hivi kukuita hivyo ni usela![]()
@Kaboom jibu hili hapa mkuu.Hahahahahaha
Nasali kanisani bana