Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama vile ilivyo shida kwa mzee kupanda mlima wenye mchanga;vivyohivyo mume kuishi na mwanamke mwenye kelele.
IMG-20220317-WA0030.jpg
 
Eti haoni
Pombe hakuna mahali imekatazwa

Tena ikasemwa tunywe kwa kiasi

Umalaya

Waliambiwa aliye mwema awe wa kwanza kumpiga jiwe hakuna aliyethubutu

Ndio maana halua haina makombo

Mavazi yameelezewa vizuri kwenye wimbo ulio bora

Hakuna la ajabu hapo

Huo unaousema unafiq ndio kabisaa

Sodoma na Gomora zilipigwa kiberiti

Ushoga noma haufai
 
Umeshinda.
 
Basi umeshinda, haya relaaaax sasa wee mzee.
Hatutaki sahivi, kila mtu msalaba wake atabeba mwenyewe.
Na atakayehukumu n m1 tyuuh, ko tuwe wapole itafahamika hiyo siku.
 
Back
Top Bottom