Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Still gorgeous na wembamba huo ..Nikivaa suruali au bukta, ndo u skeleton haupo, ila kwa picha ile ya jana ni msukulee kabisaa, mifupa nje nje khaaah![]()
Nilivyokuwaga mwembamba nilijiachia sana hebu enjoy na mwili huo kiportable .








