Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Na wewe ukiwemoAaaaah wapi wee, wapo humu vyuma na vyombo hatareee sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa picha za jana na leo .
Na wewe ukiwemoAaaaah wapi wee, wapo humu vyuma na vyombo hatareee sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wee una nn lakini? Mbna uko hivyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umewafunika[emoji39]
😎😎😎 mwanangu nipo kwa wini hapa nimetoka saloon napata maji baridii ya hillPombe hakuna mahali imekatazwa
Tena ikasemwa tunywe kwa kiasi
Umalaya[emoji1787]
Waliambiwa aliye mwema awe wa kwanza kumpiga jiwe hakuna aliyethubutu
Ndio maana halua haina makombo
Mavazi yameelezewa vizuri kwenye wimbo ulio bora
Hakuna la ajabu hapo
Huo unaousema unafiq ndio kabisaa
Sodoma na Gomora zilipigwa kiberiti
Ushoga noma haufai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cc sweta hilo mbna km zuri hivi, hebu lioneshe kwa uwazi. [emoji7][emoji7][emoji7]
Pale watu wanapojaribu kuzikandamiza dhambi nyingine wasizozifanya na kuzipambania nyingine wanazozifanya waoBasi umeshinda, haya relaaaax sasa wee mzee.
Hatutaki sahivi, kila mtu msalaba wake atabeba mwenyewe.
Na atakayehukumu n m1 tyuuh, ko tuwe wapole itafahamika hiyo siku.
Wee jishaue tyuuh hivyo hivyo, msieeeeeeewElewa nipo kwenye tathmini
Nakurejea usitoke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utawaweza bas? Ni kuwaacha tyuuh.Pale watu wanapojaribu kuzikandamiza dhambi nyingine wasizozifanya na kuzipambania nyingine wanazozifanya wao
Na kuwapa ushindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utawaweza bas? Ni kuwaacha tyuuh.
Poa poa[emoji1787][emoji41][emoji41][emoji41] mwanangu nipo kwa wini hapa nimetoka saloon napata maji baridii ya hill
Duuuh nimeliona najua nikiwa nalo songea, aaaah baridi inanipisha enyewee yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kubwa sana,utaogelea.
Yaaani hili halipenyezi baridi hata uende Makete ndanindani kwenye barafu .
Picha ya mwaka juzi.
Kabisaaa, mambo yasiwe mengi.Na kuwapa ushindi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipenziiii acha kunijaza aseeeh, wala sikubali lol.Na wewe ukiwemo
Sio kwa picha za jana na leo .
Umenikumbusha Shekel🙂...sijui nilipotezea wapi nilizokuwa nazo 😔😔Hutaki ku download shekeli 😎😎
Weeeee unapoteza shekeli 😬😬😬.. zisakeUmenikumbusha Shekel🙂...sijui nilipotezea wapi nilizokuwa nazo 😔😔
Nigawie zako kidogo nione kama zinanoga ndo nijiunge 😁😁😁
Sikujazi ila kwenye picha ulipendeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipenziiii acha kunijaza aseeeh, wala sikubali lol.
Nguva imenipitaaaaaSijui jina lake rafiki
Ila juu ni kata mkono hivi then linabana hadi kufikia chini .
Wadada wenye videngila[emoji1787]Nguva imenipitaaaaa
Videngila ni nini rafiki [emoji23]Wadada wenye videngila[emoji1787]
Mkipiga nguva zinawatokelezea mno