cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,173
Wee umejaliwa bhana, hebu weka hapa selfie.
Hapo kwenye kujaliwa sasa mimi nitoe namuacha boss lady .
Wee umejaliwa bhana, hebu weka hapa selfie.
Hapo kwenye kujaliwa sasa mimi nitoe namuacha boss lady .
Kheeeh wee upo?




Unaficha mno

Tafuta dawa inaitwa FITERAWA, huenda ikakusaidia.anaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano
Una body nzuri dear ..Saint Anne cc hii ndo ya jana.
TBT ya birthday, nkaendaga photoshoot.
HuhuhuhView attachment 2155215
Niende Wapi? Leo natoka Simiyu Nakuja mjini dalisalama DarlingKheeeh wee upo?![]()

Ndyoooooh rangi ya mtumeeeThank you
Hiyo hapa dear View attachment 2155213






Mie ni ndugu mtazamaji tu 😁😁
Ooh thank youNdyoooooh rangi ya mtumeee
Shingo sasa, weuweeeeeeeeh.

Hii rangiSaint Anne cc hii ndo ya jana.
TBT ya birthday, nkaendaga photoshoot.
HuhuhuhView attachment 2155215

Wee mbna yako hata hujawahi kuweka hapa? MsieeeewUnaficha mno![]()
Hii rangi
Haijawahi kushika jembe
Haijawahi kuishi mbinga
Songea ilipita tu bahati mbaya
Halafu nimeshaandaa lokeshen
Gemu la kirafiki





hebu amka, utajikojolea kitandan hapo bureee. Aaaaaah wee sijakuzidi bhana lol.Ooh thank you
Mmh shosti ,wewe ndo cheupe dawa hapo




Wacha wee bas sawaa.




Nikivaa suruali au bukta, ndo u skeleton haupo, ila kwa picha ile ya jana ni msukulee kabisaa, mifupa nje nje khaaahUna body nzuri dear ..
Hamna uskeleton hapo kabisa .





Kidole cha pili ni kirefuhebu amka, utajikojolea kitandan hapo bureee.
Nimelima sana, na soon ntakuonesha nikiwa shamban.


Hamna bhana mie cheusi najijua camera tu hizi .Aaaaaah wee sijakuzidi bhana lol.![]()
Ngoja Saint AnneNikivaa suruali au bukta, ndo u skeleton haupo, ila kwa picha ile ya jana ni msukulee kabisaa, mifupa nje nje khaaah![]()



