Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Ooh ahsante sana mdogo angu. Leo umegonga stara amazingHii hapa dada .View attachment 2155335
Ooh ahsante sana mdogo angu. Leo umegonga stara amazingHii hapa dada .View attachment 2155335
Kidengila ndiyo nini? Mimi sinacho lakiniWadada wenye videngila[emoji1787]
Mkipiga nguva zinawatokelezea mno
KishunduVidengila ni nini rafiki [emoji23]
[emoji1787]Kidengila ndiyo nini? Mimi sinacho lakini
Ntazipata wapi sasa and I'm not planning to go back any time soon 🥴🥴Weeeee unapoteza shekeli 😬😬😬.. zisake
😀😀😀 na zinanoga sana hasa kwenye withdraw.. mfano majuzi nimetoa mpunga.. nacheki usiku wa saa saba usiku ka massage ka ABSA twii.. kucheki hivi mzigoo huuo.. asubuhi nimeamka ninacheka tuuuu..
Asante DadaOoh ahsante sana mdogo angu. Leo umegonga stara amazing
Ooh kumbe ..Kishundu
Madam oohOoh kumbe ..
Mimi sina kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi sawaaah.Sikujazi ila kwenye picha ulipendeza
Naishia hapa.
Yeah kwa kweliAsante Dada
Mara moja moja sio mbaya kuvaa nguo ndefu hivi
😀😀😀😀... mcheki Mshana Jr atumie utaalamu wake uzikute kwenye mkobaNtazipata wapi sasa and I'm not planning to go back any time soon 🥴🥴
😄😄😄😄 Kweli hako ka-notification huwa katamu sana 🤓 Ila sasa za kudownload bila utaalam utajikuta Upload inasoma zaidi ya Download 🥵🤯
AiseeHii hapa dear ..
Mimi nina nyusi nyingi walinitinda vizuri .View attachment 2155350
Aaah unaenda kuolewa Morogoro au utamsafirisha?Aisee
Make up ya harusi ntapaka huku
Very simple
Ooh hakika utapendeza dearAisee
Make up ya harusi ntapaka huku
Very simple
Harusi[emoji849]Aisee
Make up ya harusi ntapaka huku
Very simple
[emoji1787]Aaah unaenda kuolewa Morogoro au utamsafirisha?
Hivi kwamba haujui kama shemeji yako halali upo naye huko huko?[emoji23]Aaah unaenda kuolewa Morogoro au utamsafirisha?
Watu wote wanazo taarifa[emoji3][emoji16]Harusi[emoji849]
Kaka yako taarifa anazo[emoji848]
Huko huko wapi?Hivi kwamba haujui kama shemeji yako halali upo naye huko huko?[emoji23]
Au unaye mwingine?[emoji16]