Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Kabisa. Sio mambo ya kupakwa make up utafikiri umepakwa unga; wengine ndiyo wanakandika foundation hadi sura inakuwa nzito kama uji mweehThank you ...
Simple lakini unapendeza
Kabisa. Sio mambo ya kupakwa make up utafikiri umepakwa unga; wengine ndiyo wanakandika foundation hadi sura inakuwa nzito kama uji mweehThank you ...
Simple lakini unapendeza
Hahaha kweli dearKabisa. Sio mambo ya kupakwa make up utafikiri umepakwa unga; wengine ndiyo wanakandika foundation hadi sura inakuwa nzito kama uji mweeh
Eti sema suu [emoji1787][emoji1787]Wee sema tu suu, nahamia sasa hivi [emoji1787][emoji1787]
Hahaha kweli dear
Unakuwa hupendezi hata mbaya zaidi ukute wanatumia foundation mbaya zile ..
Kikubwa kwenye kupakwa foundation ni muhimu waangalie skin tone yako , Sio wewe mweusi wakupake ya mtu mweupe hapo unabaki kuwa kichekesho .
That's so true ...sie weusi ndo kama umekosewa kupakwa inabidi upunguze tu .Na MUAs wengi naona kwa watu weupe wala hawana tatizo; kwa sisi vyeusi mangala sasa, hukawii kuchekesha
Yes ukienda saluni za mtaani; basi jiandae tu kufuta hiyo make upThat's so true ...sie weusi ndo kama umekosewa kupakwa inabidi upunguze tu .
Sema hizi saluni za mtaani au upakwe na mtu hapo kuna asilimia kubwa za kutopendeza au kukandikwa foundation tu hapo .
AbsolutelyYes ukienda saluni za mtaani; basi jiajdae tu kufuta hiyo make up
Aaaaah wapi wee, ndani ya chombo kwa hewa tena kwa dere kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni mpiga picha tu mdogo wangu [emoji1][emoji1]
Mie sijaona mbna uwiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulipendeza sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha kweli dear
Unakuwa hupendezi hata mbaya zaidi ukute wanatumia foundation mbaya zile ..
Kikubwa kwenye kupakwa foundation ni muhimu waangalie skin tone yako , Sio wewe mweusi wakupake ya mtu mweupe hapo unabaki kuwa kichekesho .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na MUAs wengi naona kwa watu weupe wala hawana tatizo; kwa sisi vyeusi mangala sasa, hukawii kuchekesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pili pili hiyo 🙄🙄chai hiyo masala.. kamuwasho kaliko balance
anaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano