NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
Duuuuuh hii mbna ni hataree khaaah. Sio kwa hizi mweeeeh.
[emoji1787]Maji yaliyobarikiwa [emoji41]
Duuuuuh hii mbna ni hataree khaaah. Sio kwa hizi mweeeeh.
Khaaaah wee ndo zote hizo, afu tofauti tofauti sasa mbna mtaunguza viungo vya ndani uwiiiiih.[emoji1787]Maji yaliyobarikiwa [emoji41]
Mweeeh mweeeh 🙆Ndiyo Anko ila siyo zile kubwa,ni hutu tudogo. Nikikosa ada za wadogo zako ndo najilipua nilale vizuri.
Pole dear ..anaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano
Jana umenihujumu.Pole sana nkamu, nicheck
Lakini huwa nasali kabla ya yote Anko[emoji1][emoji1][emoji1]Mweeeh mweeeh [emoji134]
Unasali kwa nani?Lakini huwa nasali kabla ya yote Anko[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Kwa MuumbaUnasali kwa nani?
Ili unywe??Kwa Muumba
Weka sasa tuone🥰Kuwa mpoleee bhana cc, soon.
Khaaaah wee ndo zote hizo, afu tofauti tofauti sasa mbna mtaunguza viungo vya ndani uwiiiiih.
Ewaaa...
Sijakuhujumu mama mchungaji nilishangaa tu ulipotelea wapi sababu wakati narusha hapa nilikuona upo nikahisi unazichukua kimya kimya na nilikutag kabisaJana umenihujumu.
Kwanini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duuuh pombe za bei mbaya mnoooo mweeeeh.Hapo hata usijali hakuna kinachoungua [emoji1787].
Kaa hapa hapa.Ewaaa...
Weka na ingine ya jana