Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Eeeh pole sana nkamu jamanianaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano
Eeeh pole sana nkamu jamanianaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano
Pole sana.
Eeeh pole sana nkamu jamani
anaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano
nilimeza siku 2 tu nikaacha.Pole sana nkamu, nicheckanaejua dawa ya Ulcers hata ya kienyeji yaani kwa mwezi haipiti mara mbili lazima nikachomwe sindano
Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani
Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamaniwww.jamiiforums.com
Pitia huu Uzi nkamu .
......
Pole sana
1.Mimi nilipougua nilijitahidi kula vyakula laini mfano bamia mlenda uji,mapapai na vingine kama hivyo...
Yaani nilikuwa nakula mlenda mno
..nilipunguza vyakula vinavyokwangua tumbo na vyenye gas..soda niliachana nazo kabisa.
Hili ni jambo la kwanza kufanya.
Niliona dawa siziwezi maana zilikuwa kali na mimi mvivu kula sananilimeza siku 2 tu nikaacha.
2.Nilijitahidi kula mara kwa mara, Yaani kuhakikisha tumbo halibaki wazi.
3.Nilitafuta kokwa(mbegu)peke la parachichi,nikalikausha nikasaga,nikachekecha..unga wake sasa unakoroga kwenye maji vuguvugu unakunywa asbh mchana na jioni.
4.Kuna yale majani ya yale mashika nguo( watu wa Mbeya wanayaita kapunika)
Unayachemsha yale unakunywa.
5.Kubwa kuliko yote ni maombi .
.....
Mimi nilipona ndani ya miezi mitatu.
..nilitumia hizo njia zote
Sana sana 5&2
Sielewi kilichoniponya exactly ni kipi ila naamini ni maombi na kuzingatia ulaji maana hizo dawa nilikunywa mara chache tu.
Pole sana nkamu, nicheck
Hongera sanaaah. Na umetoa ushauri mzuri mno.Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani
Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamaniwww.jamiiforums.com
Pitia huu Uzi nkamu .
......
Pole sana
1.Mimi nilipougua nilijitahidi kula vyakula laini mfano bamia mlenda uji,mapapai na vingine kama hivyo...
Yaani nilikuwa nakula mlenda mno
..nilipunguza vyakula vinavyokwangua tumbo na vyenye gas..soda niliachana nazo kabisa.
Hili ni jambo la kwanza kufanya.
Niliona dawa za hsp siziwezi maana zilikuwa kali na mimi mvivu kula sananilimeza siku 2 tu nikaacha.
2.Nilijitahidi kula mara kwa mara, Yaani kuhakikisha tumbo halibaki wazi.
3.Nilitafuta kokwa(mbegu)peke la parachichi,nikalikausha nikasaga,nikachekecha..unga wake sasa unakoroga kwenye maji vuguvugu unakunywa asbh mchana na jioni.
4.Kuna yale majani ya yale mashika nguo( watu wa Mbeya wanayaita kapunika)
Unayachemsha yale unakunywa.
5.Kubwa kuliko yote ni maombi .
.....
Mimi nilipona ndani ya miezi mitatu.
..nilitumia hizo njia zote
Sana sana 5&2
Sielewi kilichoniponya exactly ni kipi ila naamini ni maombi na kuzingatia ulaji maana hizo dawa nilikunywa mara chache tu.
Hongera sanaaah. Na umetoa ushauri mzuri mno.
Asante dogo.Wee kwan hukuwepo hapa? Basi subiri baadae kidogo,Asante dogo.
Kwenye huo Uzi Kuna watu wametiririka mengi ..yanaweza kuwa msaada Kwa wengi..Mimi vyangu niliponaga tu kimasihara hivyohivyo na havikurudi Tena.
Nimepitwa na picha Zako.
Rudia Tena tafadhali.

Pole gwa myitu. Vidonda vya tumbo ni mawazo,usipo kuwa na mawazo hautavisikia.sawa Nkamu nitaupitia
hiyo ya parachichi nishawahi fanya vilitulia kama miezi sita hivi baada ya hapo vikarudi.
asante kwa ushauri mzuri
Baadaye tena?Wee kwan hukuwepo hapa? Basi subiri baadae kidogo,![]()
Ankoo unakunywa tupombe?Pole gwa myitu. Vidonda vya tumbo ni mawazo,usipo kuwa na mawazo hautavisikia.
Dawa ya kuondokana navyo kwa haraka ni kuondokana na mawazo kwa vitu ambavyo havisuluhishiki kwa haraka,kama ni ada ongea na waalimu mara kwa mara ili wakuzoee shida zako. Usimuwazie magumu unnyambala,mfanye rafiki wa kuongea nae kila jambo.
Pombe kidogo ni tiba kwa sisi wenye mizigo ya mawazo.

Ohsawa Nkamu nitaupitia
hiyo ya parachichi nishawahi fanya vilitulia kama miezi sita hivi baada ya hapo vikarudi.
asante kwa ushauri mzuri
Mkuu humu kwenye glass ni nini hicho kinaelea kwa juu?
Duuuuuh hii mbna ni hataree khaaah. Sio kwa hizi mweeeeh.
Kuwa mpoleee bhana cc, soon.Baadaye tena?
We mtoto usinitanie
Tangu mwaka Jana nakuomba picha
Ndiyo Anko ila siyo zile kubwa,ni hutu tudogo. Nikikosa ada za wadogo zako ndo najilipua nilale vizuri.Ankoo unakunywa tupombe?![]()