Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Black biury.....[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!
Black biury.....[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!
Kaa kwa kutuliaMlete sasa hivi acheze na sisi
Afu vipi kipigio Cha Jana,umekiona?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaa kwa kutulia
Timu la friimason ilikuwa lazima lishinde
Salah wa kuingia kipindi cha pili
Uliona wapi[emoji1787][emoji848]
Wangoni kama wangoni...mpo vizuri kunako!!! Hongereni mnoooo[emoji8][emoji8][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ndiyo.Nkamu umeongea kwa hisia[emoji27] Mungu akusimamie uje ufanikiwe upate ajira au ufanikiwe kwenye biashara zako
Sawa Nkamu
Jaman kuna michosho gan huko makazini? Hapo kwenye kibali sokoni tayari nipo nje ya uwanja, Eeeh Jah atende miujiza tyuuh. [emoji120][emoji120]Maliza shule
Muombe Mungu akupe kibali huko sokoni [emoji120]
Na wewe siku utaandika hapa mambo ya michosho iliyopo huko.
Ndyooooooh. [emoji23][emoji23][emoji23]Sawa sawa
Nitakuletea matokeo yenu na wolves[emoji1787]
Naunga mkono hoja.Ila mashabiki wa Arsenal wanavutia.. wako na zile physical appearances safi kabisa.
Ni kama vile asilimia kadhaa ya ma gents na ma beautiful ladies walienda Arsenal
Source: rafiki zangu na ndugu zangu
Dini zimekataa ulozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpira uchawi
Na nyie si mrogee??
Nakutishaje tena wakati tushawachapa[emoji23]Acha kumtisha Babu yako basi [emoji23]
Ameeeeeeen!! [emoji120][emoji120]Pole usihuzunike, with time everything will be fine.
Amini utafanikiwa ukiweka juhudi
Mmebahatisha, subiria next game 💪Nakutishaje tena wakati tushawachapa[emoji23]
Nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaa kwa kutulia
Timu la friimason ilikuwa lazima lishinde
Salah wa kuingia kipindi cha pili
Uliona wapi[emoji1787][emoji848]
Punguza Hilo kopa nikuone vizuri nitakupa buku[emoji41]
Yaani Aseno nayo ni ya kusema tumebahatisha?Mmebahatisha, subiria next game [emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wangoni kwa kupenda mizagamuo, Songea guest bubu had za 3k per day, yaan guest zimezidi nyumba za kuishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Wangoni kama wangoni...mpo vizuri kunako!!! Hongereni mnoooo[emoji8][emoji8][emoji8]
Nakazia.Ndiyo.
Kuna watu wamelala nyumbani,wanatamani hata wangepata shughuli ya kuwanyanyua hapo nyumbani ila hawana ..hawaelewi watatoa wapi mkate.
Kuna wengine jua la Dar lile linatoboa utosi [emoji23]ila tunapambana kuuza barafu.
Kujiajiri kazi nkamu,,mara unaenda asbh unakuta Suma washang'oa kibanda chako[emoji23]
Mshukuru Mungu Tena[emoji120]
Ila please Babu hajapokea pension Kwa miezi 6 Sasa kama alivyosema awali 🙈 najua bei ya Bia itakuwa ni Kwa shilingi za Kitanzania na sio Dolali pia 😀Pa kunipata unapajua 🚶🏻♀️
Labda niende kukusubiria 🤸🏻♀️
Wauuweeeeeeehhh!! Nasikia mnakata viuno feni ikasome!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wangoni kwa kupenda mizagamuo, Songea guest bubu had za 3k per day, yaan guest zimezidi nyumba za kuishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wangoni hoyeeeeeeeh,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app