Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Moshi oyee 🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️

Ni angle ya picha tuki compare na hii ya leo au? Aisee ile uko na perfect body kinyama 😘😘
Nikudorishie? Ila tatizo some viewers here wanaweza kukonekti doti 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️
Moshi kuna nini acha ukorofi🤣🤣

Hahaaa santee, saivi nishazeeka ubonge umenitembelea perfect body nimekuachia wewe😂😍

Naomba nidorishie private tasavali
 
Lizzy .. hibiscus tea 😊😊
IMG_20220317_115815_edit_93405807165434.jpg
 
😹😹😹

We ile ya kfc noma, labda uisingizie angle ya picha.

Na mimi perfect body namuachia nachuro 🤣🤣

Inakuja..
Mpiga picha alikua makini na kazi, nilimwambia mapema kuwa hii picha ni spesheli so amakinike basi naye nashukuru hakuniangusha

Kwenye nachuro hapo hahahaaaa niache kwanza nipo kwa mfungo🤣🤣🤣🤣
 
Wee mzee hata ushawishi hujui, umepoa km mkojo wa mbuzi, afu hata hujiongezi, kiufupi huna maajabu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wenzako ombi sio maneno, ni muamala kila kitu kinaji sett automatically, kwan unakwama wapi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie muongo eti shouzzzzzzzz mahondaw

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kumbe jambo dogo hivyo

Kaa mkao wa kuliwa
 
Back
Top Bottom