Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wangoni kwa kupenda mizagamuo, Songea guest bubu had za 3k per day, yaan guest zimezidi nyumba za kuishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Wangoni hoyeeeeeeeh,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nitaamini vipi

Ikiwa ombi langu

Umelikalia
 
Anafatia chaka letu Lenie
Afu anakuja huyu master wa abroad vacation
Afu anakuja niliyembetia… si unawajua wahaya [emoji81]
Afu anakuja Geeeegrahams [emoji2224]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Anafatia chaka letu Lenie
Afu anakuja huyu master wa abroad vacation
Afu anakuja niliyembetia… si unawajua wahaya [emoji81]
Afu anakuja Geeeegrahams [emoji2224]
Tuone mtaje huyo jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila Asenali kuna namna wababa wake wamebarikiwa,sijui kwa vile Wana roho za kigenlemen
 
Nitaamini vipi

Ikiwa ombi langu

Umelikalia
Wee mzee hata ushawishi hujui, umepoa km mkojo wa mbuzi, afu hata hujiongezi, kiufupi huna maajabu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wenzako ombi sio maneno, ni muamala kila kitu kinaji sett automatically, kwan unakwama wapi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie muongo eti shouzzzzzzzz mahondaw

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
We Binti umenishinda tabia [emoji119]

Hili jambo linaongeleka, please tusifike huko mwishowe ukawaambia vijana next game watufunge bao 4 bure [emoji2957][emoji2957]
Mtachagua tuwafunge ngapi[emoji23]
JamiiForums1417732377.jpg
 
Wauuweeeeeeehhh!! Nasikia mnakata viuno feni ikasome!![emoji12][emoji12][emoji12]
Hilo sio la kuuliza, wee huwasikii wasanii wanavoimba kila siku uno la kingoni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa upande wa mzagamuo, pale kitandan hakna wa kuwafikia wangoni, tz nzima inasubiriiiii, woiiiiiiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mount Meru Hotel
Eeh uende weekend hali ya hewa ikiruhusu

Ni ya last week, ilikua KFC
Ooh thank you bebe😊😍😘
Moshi oyee 🤸🏻‍♀️🤸🏻‍♀️

Ni angle ya picha tuki compare na hii ya leo au? Aisee ile uko na perfect body kinyama 😘😘
Nikudorishie? Ila tatizo some viewers here wanaweza kukonekti doti 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️
 
🤣🤣🤣🤣 ila we mzee

Haya 🚶🏻‍♀️
Nimefanya nini rafiki?

Isingekuwa ni Shabiki wa Arsenal huenda saivi ningekuwa naongoza maandamano ya kudai Pension yetu na Wastaafu wenzangu, Kila wakitaka kuandamana nawaambia tuvumilie kama Arsenal tunavyovumilia Epl tangu 2004.

Mama anaupiga mwingi kwahiyo atatukumbuka tu na Pension yetu 🥱
 
Moshi oyee [emoji2224][emoji2224]

Ni angle ya picha tuki compare na hii ya leo au? Aisee ile uko na perfect body kinyama [emoji8][emoji8]
Nikudorishie? Ila tatizo some viewers here wanaweza kukonekti doti [emoji2212][emoji2212]
Hebu weka hapa nawee khaaah, unaogopa nn kwan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nimefanya nini rafiki?

Isingekuwa ni Shabiki wa Arsenal huenda saivi ningekuwa naongoza maandamano ya kudai Pension yetu na Wastaafu wenzangu, Kila wakitaka kuandamana nawaambia tuvumilie kama Arsenal tunavyovumilia Epl tangu 2004.

Mama anaupiga mwingi kwahiyo atatukumbuka tu na Pension yetu 🥱
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom