Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie mnaosema ajira na biashara, mnatutoa machozi sisi majobless, yaan ajira hatuna na hata mtaji wa maji ya kandoro haupo, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jah atusimamie tyuuh. Oooohhhppppssss

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Maliza shule
Muombe Mungu akupe kibali huko sokoni 🙏
Na wewe siku utaandika hapa mambo ya michosho iliyopo huko.
 
Nyie msipokaa sawa mechi zote zinazofata mtapoteza kama siyo kudraw[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye masuala ya mpira huwa naongea kidogo, afu baada ya match huwa nauliza mrejesho wa matokeo,
Tutaulizana hapa hapa. Tuwe wapoleeeeh tyuuh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye masuala ya mpira huwa naongea kidogo, afu baada ya match huwa nauliza mrejesho wa matokeo,
Tutaulizana hapa hapa. Tuwe wapoleeeeh tyuuh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sawa sawa
Nitakuletea matokeo yenu na wolves[emoji1787]
 
Nyie mnaosema ajira na biashara, mnatutoa machozi sisi majobless, yaan ajira hatuna na hata mtaji wa maji ya kandoro haupo, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jah atusimamie tyuuh. Oooohhhppppssss

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Pole usihuzunike, with time everything will be fine.
Amini utafanikiwa ukiweka juhudi
 
Back
Top Bottom