reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
Tupo tupia
Tupo binamuuu
mnyaki waukweeeeeeee wauuweeeeeeehhh! 🤸🤸🤸😜😘Black beauty huyooo, saint & brain. mnyaki mwenyeweeee.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hizo eloi mwenzio asenali ataungana na wewe kuziimba.Dogo unajisahaulisha saa tano klopp ataimba eloi eloi
Depal mwekee mtoto picha nyingine aone please
Nimeona aisee bonge la kofia kinyamwezi Sana na hapo Simba umetisha Sana hivi umeolewa reymage
Yaani nataka tu kucomment naona manyoya khaa
Yaan aweke nione hapa.Depal mwekee mtoto picha nyingine aone please




🤣🤣🤣 Tulia hivo hivo bado tupo Kwako kwanza!!Yaani kile kicheko na tabasamu natoaga kwnye picha zako ndio hilo hilo huwa natoa nikiwa natype muda huo nakushushia sifa boss ledi wetu usiye na mpinzani🤩




Black beauty huyooo, saint & brain. mnyaki mwenyeweeee.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Msiniambie nimewaambukiza ile tabia yangu😂mnyaki waukweeeeeeee wauuweeeeeeehhh! 🤸🤸🤸😜😘
Nyie wote nitawatafuta baada ya mechiMuache aneng'eneke
Sijui ataambia nini watu![]()














