Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,290
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜!Dadeq kumbe nakufa tu njaa mtaani huku
Wakati nina kipaji eeeh???
Wacha nirudi sasa shule![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜!Dadeq kumbe nakufa tu njaa mtaani huku
Wakati nina kipaji eeeh???
Wacha nirudi sasa shule![]()
Yaani huyu fundi hata nikimleta kwako utaona haya majaabuAna uwezo wa kusifia makande yakaonekana pilau.
,
Bado tunaendelea kumimina baraka za Mungu maishani kwako boss ledii.Yanii usiombe kuingia kwenye anga zake!!! zitasifiwa hadi kuku zako![]()

Unataja maeneomoro town
Kahumba
Chipukizi
Madaraka road

Kuna hatari mtoto wa mtu akanijengea sanamuMpambe tu yule

Yaani huyu fundi hata nikimleta kwako utaona haya majaabu
Nimesuka nywele Kwa miaka sasa ila sijawahi kutana na fundi kama huyu ambaye mkono wake hauumi kabisa nywele ya Rasta hiyo..
Nikajua labda amebahatisha tu hiyo siku,nikaenda tena siku nyingine..mambo yakawa yaleyale haziumi.
Nikajua kichwa changu kina sugu,
Nikampeleka sister wangu ambaye yeye kichwa chake ni tona tona akisuka mara mapele haya,analalamika zinaumaaa
Aliposuka kule alilala vizuri,akamsifia,akarudi Tena..na ukitaka akufuate nyumbani anakuja,unampa tu nauli.
Huyu fundi sasa saluni Hana,anasukia tu nyumbani na wateja ni mmoja mmoja
Kwa kile kipaji chake ilitakiwa akae sehemu kali saloon kubwa za kishua huko Mlimani City.
Baadaye nitasindikizia na kapicha ka nywele nilizosuka kwake![]()

Sema akiyanani??
Ana kipaji ila mazingira yanamkataa.
Msusi yupo next level huyo ..
Watu na vipaji vyao .
Nasubiria picha ya msuko .
Nipo mie jomoneeee, hebu weka selfie yako hapa bas.cocastic mkuu upo

Mungu amsaidie aende mbali .Ana kijaji ila mazingira yanamkataa.
Acha kuchapiaAna kijaji ila mazingira yanamkataa.

Watoto wa siku hizi aiseee!!
Mbona mnakua kabla ya wakati wenu.
Sisi wa huku Ileje ndanindani tunategemea kujifunza hayo mbele ya safari

nimecheka mnooo tena sana, nweii sawa nakubali. NdyooooohYaani huyu fundi hata nikimleta kwako utaona haya majaabu
Nimesuka nywele Kwa miaka sasa ila sijawahi kutana na fundi kama huyu ambaye mkono wake hauumi kabisa nywele ya Rasta hiyo..
Nikajua labda amebahatisha tu hiyo siku,nikaenda tena siku nyingine..mambo yakawa yaleyale haziumi.
Nikajua kichwa changu kina sugu,
Nikampeleka sister wangu ambaye yeye kichwa chake ni tona tona akisuka mara mapele haya,analalamika zinaumaaa
Aliposuka kule alilala vizuri,akamsifia,akarudi Tena..na ukitaka akufuate nyumbani anakuja,unampa tu nauli.
Huyu fundi sasa saluni Hana,anasukia tu nyumbani na wateja ni mmoja mmoja
Kwa kile kipaji chake ilitakiwa akae sehemu kali saloon kubwa za kishua huko Mlimani City.
Baadaye nitasindikizia na kapicha ka nywele nilizosuka kwake![]()
hahahaha yalikua maeneo yangu hayo enzi hizoUnataja maeneo
Korofi
Tena ya zamani![]()
Nani sasa atanibomoa hapo?Hiyo siku
Ukibomolewa kofi la mbavu
Usije kulialia hapa
![]()

hahahaha yalikua maeneo yangu hayo enzi hizo

Hebu tulia hapo yudizim usomenimecheka mnooo tena sana, nweii sawa nakubali.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app

Nani sasa atanibomoa hapo?
Yeye au ataomba msaada??
Msinitafutie jinai Mimi![]()