Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Sina vyote hivyo [emoji28]Kwan huna lipstick? Yaan unatakiwa uwe na lipstick, lip pam, naksh lips, weuweeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Eeh sina yaani hata make up pia [emoji28][emoji28]
Nina kawanja tu maana napenda kupaka kwenye macho .