Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,274
Ninazo ila kuvipaka sasa!! Vinakaa hadi vingine vina expire
Ninazo ila kuvipaka sasa!! Vinakaa hadi vingine vina expire
Yeah wapo vizuri sanaNilipapenda sana pale hata bibi harusi wanapendeza balaaa .
NingeshangaaOoh napafahamu

🥱🥱🥱🥱🥱🥱 Cocastic wewe kichwa chako sasa hahahahahahah!!!!!!🤣kuwa na adabu mie konki wa nn?
Afu ukute sasa mie ndo learner, sijui kitu kuliko yeye unayemdhania.
Mizagamuo hoyeeeeeeh,. Aliyeleta mizagamuo ana nafas yake huko baada ya duniani hapa, yaan ile kitu aaaaah, unasahau shida na tabu zote za dunia, lakini kwa wanaopendana tyuuh
Hawa walio ktk mahusiano ya kuzagamuana kwa kufake hawa enjoy wala nn, wanakamilisha ratiba tyuuh, uwe na mtu fulaan unamuelewa, unamkubali, na kumpenda haswaaaa, acha wee
Yaan ukimuona tyuuh bacteria walio ktk eneo husika wanaanza kupisha na kuweka maji ktk eneo ili mgeni asife na kiu.
Watu weuweeeeeeeeee,
mahondaw mie muongo shouzzzzzzzz? Hahahah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hahaha kungwi wewe haswa ..Tafuta kidogo nawee jaman, hata shem aone utofauti wako, mambo madogo madogo ndo ya kumkonga mume jomoneeeeh shouzzzz,
Kungwi on air,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
brother.....where is bill??Huyu mwanamke ananikosha Sana sijui nitupe nyavu![]()
Sure thing ..Yeah wapo vizuri sana
Sio rahisi, ila kwa hilo nawapongeza.
Konk
Wa mzagamuo
Huna mbadala
Ni vile twaheshimiana
Ila tukipigana zagamuo
La kirafiki
Mbona mswano tu





kaa kwa kutulia, 






Nimetulia mama malezi,Coca em acha basi hizi mambo zako.





Ndiokaa kwa kutulia,
Afu kwan wanaoheshimiana hawazagamuani? Ko wana ndoa hawaheshimiani? Au mke na mume?
Mie sijawahi kuelewa mtu anatongozwa afu anajibu "yaan sikuwahi waza utanivunjia heshima kias hiki" khaaah kwan mtongozo n dharau?
Au demu anamfata jamaa anamuelezea hisia zake, jamaa anajibu "daaah sikiwahi fikiria wee ndo unikosee adabu hivi, nlikuona msichana wa maana kumbe mmh", sasa kosa n lipi hapo?
Au mzagamuo n kwa wale tyuuh wasio heshimiana? Hebu Nijibu hapa
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nipe somo nipe somo shos!!!Tafuta kidogo nawee jaman, hata shem aone utofauti wako, mambo madogo madogo ndo ya kumkonga mume jomoneeeeh shouzzzz,
Kungwi on air,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hebu uwe unajipodoa bhana shouzzzzzzzz ake,Ninazo ila kuvipaka sasa!! Vinakaa hadi vingine vina expire





Ile uliyokuwa unasema ifutwe.
#yuleniwewekwelimpendwa
Kwa Happie make up; yupo hapo maeneo ya Kahumba/ karibu na jengo la CCM wilaya.Sure thing ..
Je sehemu nyingine unayoifahamu kwa pale mjini ?
Safi. Haya tuendelee kuselfikaNimetulia mama malezi,
Wacha nikae kimya mie,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Naanza shos ake... nenda kule kwanza;
Nipe somo nipe somo shos!!!







shouzzzz twende taratibu bas, Sijawahi kufika hukoKwa Happie make up; yupo hapo maeneo ya Kahumba/ karibu na jengo la CCM wilaya.
Naenda shouzzzzzzzz angu,Naanza shos ake... nenda kule kwanza;




