Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Ukitaka kusuka muite huyu fundi wangu.Ooh yeah ana mkono mchungu itakuwa maana sio kwa maumivu hayo ..
Huyo yupo vizuri na hiyo ndo raha ya kusuka sio baadae uone vipele .
Bei poa.
Ndiye aliyenifanya nianze kusuka yebo..
Haumini,yaani ujue haumizi...
Nywele yake sasa anasuka nzuuuurii

.




