Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baadhi ya maumivu yako makali kabisa yatatokana na watu ambao uliwasaidia

tapatalk_1527121094230.jpg
 
Origin tena em nenda sijui google [emoji1787]
Ia wine zangu origins zake najua

Try pia mocktail ya ginger ale na orange juice na sugar syrup kwa mbali… kuna ka kitu pia wanawekaga nimekasahau ‘ kanaishia na berry vile

Napenda kunywa kunywa
Mm hata naweza acha ice cream iyeyuke afu niweke kwa mug nikunywe na mrija [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Aisee ongea na watu uyajue mambo
Huwa nazichukulia poa , kumbe ndo nzuri hivyo ..
Unajua vinywaji wewe dada balaaa, Mimi huwa nahisi vitakuwa vichungu pia ..

Well you're an expert on this miss , keep it up
Dada mlevi huyo, asijue pombe tenaah? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom