Hivi huwezi kutoa hizo emoj japo sekunde 2 best? Hapa watu wameshalala tumebaki wenyewe
Hivi huwezi kutoa hizo emoj japo sekunde 2 best? Hapa watu wameshalala tumebaki wenyewe
Kuna warembo sana humu, sema pcs za humu mpaka kuvizia sana.22 October
TGIF View attachment 2146244
😘22 October
TGIF View attachment 2146244
Ah siweziHivi huwezi kutoa hizo emoj japo sekunde 2 best? Hapa watu wameshalala tumebaki wenyewe
Sijaona sura ya mmama hapo..mtoto bado kabisa.Ahsante Sana mpendwa...ila mimi mmama ujue..😂😂😂Basi tu sura imegoma kuzeeka
2 seconds unafutaaaaAh siwezi
Watu wapo aisee,
Kwamba nikabold au ni re write na capital letters?
Humu timing tu Mkuu ..Kuna warembo sana humu, sema pcs za humu mpaka kuvizia sana.
Leo nimejaribu, nimefanikiwa kuona warembo..Humu timing tu Mkuu ..
Unaweza kosa picha hivi hivi .
![]()
Kesho nikienda lunch mahali nitakuonyesha ka best mocktail ever..
Jua likiwa kali sana sitoenda, maana uwa navurugika sana ubongo nikitembea juani
Ooh vyema MkuuLeo nimejaribu, nimefanikiwa kuona warembo..
Nyingi sana hizo2 seconds unafutaaaa
😅😅😅😅 usiogope watu tupo wachache sana fanya namna bestNyingi sana hizo
Mara pah app inakuwa down .
😂😂😂😂 Haya bwanaSijaona sura ya mmama hapo..mtoto bado kabisa.
Uso wangu utakwenda na wewe, na weweSiku moja bila Mungu bila uwepo wa Mungu
Ni sawa na miaka elfu jangwani
Siku moja bila Mungu bila uwepo wa Mungu
Ni sawa na miaka mingi jangwani
Hahah ..uwoga ni ujanja .usiogope watu tupo wachache sana fanya namna best
Maana ni niniMwanadamu Bila Mungu huwezi lolote
Hatuwezi lolote bila Mungu ni hasara
😍ni balaaaa
Naipenda ya curaçao 🤗Ooh I'm excited already , nione hiyo mocktail ..
Jua huwa linaharibu mambo kabisa sasa bora mikoani usafiri si mgumu , huku unaweza ukaghairi kwenda kabisa .