Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna Pepsi, Alvaro, bavaria, ginger ale, juice na mocktail kibaoooo
Achana na mipombe haifai best
Fanya namna uubariki usiku huu na selfie safiii

Pepsi ni kinywaji changu pendwa..
Asante kwa vinywaji hivyo ,
 
Ewaaaaaaa..[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]dogo langu wakunijaza Dada akooo[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Alafu si niliaga mieee..embu nilale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangoni hatuna show mbovu, tumebarikiwa aseeeeh.
Mie, wee, na reymage tosha kabisa kumaliza uthibitisho. Hahahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom