Anza wewe, then mie nitafuataMfanyie wepesi bwana Shimbe kwanza 😌
Cocastic dah... Nakupenda bureee tuuaseeeh mie ndo nilinyimwa kabisaa appetite ya vinywaji vya viwandani, mie buzzy na ulanzi woiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app



Salama mambooHabari za asubuhi watu wa Mungu
Haha...One for me basi…
Au nimwite Carleen aje asaidie kubembeleza maana peke yangu siwezi.
Poa mremboSalama mamboo
Ameen ameen Mungu mwemaPoa mrembo
Nafurahi kama umeamka salama mtu wa Mungu
Ooh sawaHiyo ya rosella mf, haina hata haja ya tutorial
Tena yenyewe hata ukiishia tu kwa rosella na orange juice bado inakuwa nzuri tu
Ooh asante sana , this so sweet of you...
Nitakufanyia manuva room22 ipotee na usiamini? HayaHaha...
Ya C'ssy Heaven Sent mpaka nilitoa na tamko la Onyo, atakayeiona picha yake bila kunitag basi atakutana na kitu kizito, lakini mpaka naongea na wewe Leo 'work done is equal to zero'..😂😂
Hivi Chemistry shule ulifanya vizuri kuliko unavyojua kuchanganya kemikali za vileo?!chizi we















Naomba ulizotuma zirudiwe!, NimepitwaaEwaaaaaaa..dogo langu wakunijaza Dada akooo
Alafu si niliaga mieee..embu nilale


