Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

I wanna be right there where You are
In Your Presence oh Lord
I wanna be right there You are
I wanna be in Your Presence

Lord I wanna be, in Your Presence
Lord I wanna be, in Your Presence
I never knew a love like this before
The kind of life that I cannot find on my own
I've seen the world but I have never been so sure
That I want Your heart
God, I just want to be where You are
Where You are
I just want to be where You are..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana tu kwa jina lake ..
Origin yake ni wapi ?
Watu mnaenjoy vinywaji ehh
Origin tena em nenda sijui google 🤣
Ia wine zangu origins zake najua

Try pia mocktail ya ginger ale na orange juice na sugar syrup kwa mbali… kuna ka kitu pia wanawekaga nimekasahau ‘ kanaishia na berry vile

Napenda kunywa kunywa
Mm hata naweza acha ice cream iyeyuke afu niweke kwa mug nikunywe na mrija 🤣
 
Aisee ongea na watu uyajue mambo
Huwa nazichukulia poa , kumbe ndo nzuri hivyo ..
Unajua vinywaji wewe dada balaaa, Mimi huwa nahisi vitakuwa vichungu pia ..

Well you're an expert on this miss , keep it up
 
Daah huyu amenifanya nianze kupigia kelele watu kwa kuimba huu wimbo. Imba mwaya
Nakuelewa sanaaaa
Ilo vibe nalipata vyedi.. Najijua mfano mimi nikiamka na tenzi yangu 1 basi naweza maliza nayo siku iko tu hapo mdomoni.

Endeleeni kumtukuza Mungu kwa nyimbo za sifa na kuabudu, huku mkituombea na sisi vuguvugu ‘ nusu kwa Mungu nusu duniani. Yaan
 
Nimecheka mdogo angu. Wote tunavipiga vita vya imani; hatujafika bado, tunaendelea kupambana

Huu wimbo nimetembea nao last week yote; so alivyouimba ni ameamsha nafsi yangu upyaaaa
 
Aisee ongea na watu uyajue mambo
Huwa nazichukulia poa , kumbe ndo nzuri hivyo ..
Unajua vinywaji wewe dada balaaa, Mimi huwa nahisi vitakuwa vichungu pia ..

Well you're an expert on this miss , keep it up
Kuna nyingine ya rosella na orange juice
Hii hata home waweza tengeneza ila kuna vitu utamiss tu.

Najaribugi, ila unajikuta umekwama sijui sugar syrup huna mara curaçao syrup hujui hata unaanzia wapi kuitafuta 🤣 basi tafrani
 
Back
Top Bottom