Kila mtu abebe msalaba wake




tabia mbaya wee. Shem anafaidi yaan,Thanks sweetheart...ubarikiwe dear![]()



Yna2 dia hivi juzi ulinitajia vitu gani vya kupunguza tumbo vileee??? jmos nataka nikavisake kimoja baada ya kingine...




acha tumbo la kufutia I4n 13.Yaan sijaona kitu, app inazingua sana kwangu lol.
Tangawizi karafuu mdalasini pilipili manga Kama utapata na unga wa majani ya machungwa pia itakua vizuri.. tangawizi karafuu mdalasini vipimo viwe sawa ila pilipili manga iwe robo ya vipimo vingine..ukikosa unga wa majani ya machungwa..ukitengeneza chai yako kamulia nusu kipande cha lemon na asali kijiko kidogo cha chaiYna2 dia hivi juzi ulinitajia vitu gani vya kupunguza tumbo vileee??? jmos nataka nikavisake kimoja baada ya kingine...
Tulips amazing 🥰
Labda nikufundishe wokovu 🥰
Njia nyingine waweza chemsha tangawizi.. kitunguu thomu tembe chache (hapa kadiria)..na ndimu kata vipande chemsha pamoja..dk 10..ikipoa weka asali 1tsp kunywa..nayo nzuri piaYna2 dia hivi juzi ulinitajia vitu gani vya kupunguza tumbo vileee??? jmos nataka nikavisake kimoja baada ya kingine...
Tangawizi karafuu mdalasini pilipili manga Kama utapata na unga wa majani ya machungwa pia itakua vizuri.. tangawizi karafuu mdalasini vipimo viwe sawa ila pilipili manga iwe robo ya vipimo vingine..ukikosa unga wa majani ya machungwa..ukitengeneza chai yako kamulia nusu kipande cha lemon na asali kijiko kidogo cha chai
Njia nyingine waweza chemsha tangawizi.. kitunguu thomu tembe chache (hapa kadiria)..na ndimu kata vipande chemsha pamoja..dk 10..ikipoa weka asali 1tsp kunywa..nayo nzuri pia
Weuweeee. Hata j3 usije, nitakushikia zamu😀😀😀😀😀.. usijali.. chini ya daftari la mwisho kuna dollar 400
Hela ipo...hapo kwenye show!Una hela?
Una nguvu??
Show za rough road unaziweza???
![]()


















Yani tupo tofauti kweliKwa kweli watu tuko tofauti, mm bavaria naiona iko tasteless
Zijaribu ni nzuri, sema smirnoff naionaga ina hangover nzito ukinywa nyingi.
Sirudii tena kuinywa hiyo ..WamelalaWeuweeee. Hata j3 usije, nitakushikia zamu
Umenitisha na hiyo rough road! Umemaanisha ama jokes! Plse naomba nijibu ni jokes tuUna hela?
Una nguvu??
Show za rough road unaziweza???
![]()









Ili kufuta tumbo?Tangawizi karafuu mdalasini pilipili manga Kama utapata na unga wa majani ya machungwa pia itakua vizuri.. tangawizi karafuu mdalasini vipimo viwe sawa ila pilipili manga iwe robo ya vipimo vingine..ukikosa unga wa majani ya machungwa..ukitengeneza chai yako kamulia nusu kipande cha lemon na asali kijiko kidogo cha chai



bas niwape tumbo langu, nyie mnipe misambwanda yenu. WoiiiiiiihSitakiiii, nataka ulabuuuLabda nikufundishe wokovu![]()




Jipe muda ujaribu tenaYani tupo tofauti kweli
Mimi naona wine zimenishinda kabisa nilijaribu tu nione kama nitazipenda.
Hiyo yenye hangover hatari aisee , tuwaachie wanaoziweza tu .... Hiyo Smirnoff ina asilimia ngapi ya Alcohol ?
Nilivyojaribu Lion's hill ghafla sauti ikabadilika na kuwa nzito nikajisemea what the hell is this ?Sirudii tena kuinywa hiyo ..
Hela ipo...hapo kwenye show!
Kwanza mie ni wale kimoja chali![]()





