Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Oohh atleast hiyo Smirnoff inaonekana si mbaya ..

Itakuwa mwili ulireact tu aisee maana haujazoea vitu vichungu hivyo [emoji28]... Kiukweli ilinishangaza hiyo wine mara siwezi kutembea ..nahisi kizungu zungu ,kilichonisaidia ni kunywa maji mengi na kuoga baada ya hapo .

Hiyo Amarula siiwezi kama ina uchungu ndo kabisa [emoji23]..
Hivi mnawezaje kunywa vitu vichungu? Au mnatia sukari? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Namaanisha kwa joto! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
🤣🤣🤣🤣😂😂😂🥱🥱🥱🥱🤣🤣 !! hahahaaa....
 
Oohh atleast hiyo Smirnoff inaonekana si mbaya ..

Itakuwa mwili ulireact tu aisee maana haujazoea vitu vichungu hivyo
emoji28.png
... Kiukweli ilinishangaza hiyo wine mara siwezi kutembea ..nahisi kizungu zungu ,kilichonisaidia ni kunywa maji mengi na kuoga baada ya hapo .

Hiyo Amarula siiwezi kama ina uchungu ndo kabisa
emoji23.png
..
Au hukushiba wewe 🤣🤣
Ila sishangai maana hata mimi savanna kama sijashiba lazima initoe nishai

Zanzi je 🤗
Nzuri sio chungu
 
Au hukushiba wewe [emoji1787][emoji1787]
Ila sishangai maana hata mimi savanna kama sijashiba lazima initoe nishai

Zanzi je [emoji847]
Nzuri sio chungu

Nilikula mbona tuchipsi hivi
Au haiendani na vyakula vyepesi eeh ?
Ehh unajua vinywaji dada ..
Hiyo siifahamu kabisa .
 
Eeh mimi siwezi vitu vichungu ..
Nadilute na maji weh mpaka maji yaishe hapo naona imetosha ila sidhani kama nitatumia tena .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh mie ndo nilinyimwa kabisaa appetite ya vinywaji vya viwandani, mie buzzy na ulanzi woiiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Au basi mkemia!! [emoji2365][emoji2365][emoji2365][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Back
Top Bottom