Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,271
😇😇😇😇Maana ni nini
Kitakacho tutofautisha na watu wengine
Ni nini kitakacho tufanya
Tushinde Bwana wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
😇😇😇😇Maana ni nini
Kitakacho tutofautisha na watu wengine
Ni nini kitakacho tufanya
Tushinde Bwana wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta sana kuwa na MunguHeaven Sent mamaaaa
Hatua nyingi bila Mungu
Maendelea bila Mungu
Mwisho ni aibu ni bure eeh
Usianze wala kuenda bila Mungu
Hutafika mbali wewe mwite
Maana huwezi mwenyewe
Uso wa Mungu ukiwa nawe
Utakufanikisha wewe utakushindia
Utakuwa juu
Macho mazuri.
Umeshawahi kuuona uso wa Mungu laivu? 🤣🤣😁Heaven Sent iga wenzio huku mama mchungaji
Ahsante mwayaMacho mazuri.
AmenTafuta sana kuwa na Mungu
Tunza sana uwepo wa Mungu
Maana huo ni ufunguo wa maisha
Tafuta sana kuwa na Mungu
Tunza sana uwepo wa Mungu
Maana huo ni ufunguo wa maisha yako
Ameahidi atakupatia
Ukimwomba lolote
Omba sana uwepo wa Mungu maishani mwako (halleluyah)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi mama mchungajiUmeshawahi kuuona uso wa Mungu laivu? 🤣🤣😁
Ooh inaonekana nzuri kwa jina lakeNaipenda ya curaçao 🤗
Hapo kwa lunch ni kwa kutembea, sasa na siku hizi jua linavyowaka inakuwa kipengele.
Blue flani hiviOoh inaonekana nzuri kwa jina lake
Rangi yake ikoje ?
Daah huyu amenifanya nianze kupigia kelele watu kwa kuimba huu wimbo. Imba mwayaAmen
‘Nina haja na wewe’ ngoja nisikilize hii tenzi mpaka nitaposinzia.
Alooh...gorgeous
Imeisha hiyo😁😁😁Sijawahi mama mchungaji
I wanna be right there where you are LordTafuta sana kuwa na Mungu
Tunza sana uwepo wa Mungu
Maana huo ni ufunguo wa maisha
Tafuta sana kuwa na Mungu
Tunza sana uwepo wa Mungu
Maana huo ni ufunguo wa maisha yako
Ameahidi atakupatia
Ukimwomba lolote
Omba sana uwepo wa Mungu maishani mwako (halleluyah)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali mama mchubgaji fanya namnaImeisha hiyo😁😁😁
There is healing in the PresenceMaana ni nini
Kitakacho tutofautisha na watu wengine
Ni nini kitakacho tufanya
Tushinde Bwana wangu
Inaonekana tu kwa jina lake ..Blue flani hivi
Very luxurious 🤣🤣🤣
I wanna be right there where You areUso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha
Uso wangu utakwenda na wewe, na wewe
Na mimi nitakupa raha, raha
Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Mwenyewe siwezi, siwezi
Bila wewe, siwezi
Siwezi siwezi
Bila wewe, siwezi..
Sent using Jamii Forums mobile app
😍Nilale Sasa..mjep na wenzio niwatakie muda mwema.
View attachment 2146247
Mmmmh...nomar sana.Nilale Sasa..mjep na wenzio niwatakie muda mwema.
View attachment 2146247
I'm lifting you higher, higherThere is healing in the Presence
There is joy in Your Presence
There is healing in Your Presence
I wanna be in Your Presence Lord