Nilikuwa sijaelewa Ujumbe, kumbe unawahusu Vijana wa Leo.
Kwa timu ipi mliyonayo ya kutupiga sisi??Yule profesa ndio kamfundisha ukocha klopp alimuokota bar,,Msimu ujao nyie livakuku genge la wahuni tutawapiga nje ndani
Hata yeye anatambua wazi kuwa boss Lady ni mbarikiwa na hatuna boss lady mwingine ila wewe.
Kawaida yake huyu.Shouuzzzz leo umetokolezeeaa ki headmistress uwiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kweli unajua kusifia, Ungekuwa Mwanaume Mabinti zetu wangeshindwa kuchomoa mistari yako ππKawaida yake huyu.
Sijawahi kumuona hajatokelezea.
Mwili wa kiboss lady unakubali kila nguo,,,hapa bado hajatupia zile suruali zake official
Mungu alimuumba asubuhi mapema kabisa baada ya chai nzito.
πππ haya mambo ya vijana wazuri kizazi cha leo kama kina Saint Anne ndio watakuna na hivyo vi mbwanga..Nilikuwa sijaelewa Ujumbe, kumbe unawahusu Vijana wa Leo.
Sisi enzi zetu ilikuwa unamwambia Mama Bhoke ajitayarishe tu wewe ni kulenga shabaha basi πππππππ
Sambaza upendo...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯± ila nyie π€£!Kweli unajua kusifia, Ungekuwa Mwanaume Mabinti zetu wangeshindwa kuchomoa mistari yako ππ
Ila the lady is so hot π₯, isingekuwa Uzee huu ningefunga safari kwenda kumsifia live πππππ
Sifa ninazotoa ni amini na kweliKweli unajua kusifia, Ungekuwa Mwanaume Mabinti zetu wangeshindwa kuchomoa mistari yako
Ila the lady is so hot, isingekuwa Uzee huu ningefunga safari kwenda kumsifia live
Anne unajua Nimecheka mpaka nahisi kukauka kwa kichekoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π₯±π₯±π₯±π₯±Kawaida yake huyu.
Sijawahi kumuona hajatokelezea.
Mwili wa kiboss lady unakubali kila nguo,,,hapa bado hajatupia zile suruali zake official
Mungu alimuumba asubuhi mapema kabisa baada ya chai nzito.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ilaaa na Saint Anne leo mmejua kuniua mbavu π₯±π€£π€£π€£π€£π₯±!!wee ndyoo bhana. Headmistress afu huniambii kwann? Je km nilkua mwanafunzi wako? Hahahah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hahaaaa nyie watu uwiiiiπ₯±π€£ππ€£π€£π₯±π₯±mie ndo nashindwa kumuelezea kabisaaa, nabaki kukaa kmya, maan sijui ntaanzia na kuishia wapi, vipi shouzzzzzz mie nadanganya? mahondaw
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
EwaaaaaaAnne unajua Nimecheka mpaka nahisi kukauka kwa kichekoπ₯±π₯±π₯±π₯±
Huyo sio sana, Willow kapo mno aaah, hata Jaden nae sema ananiudhi anavojiwekaga ka zombie, ananikeraa mnoo.Trey je? Sema huyu kapoa kama uji wa mtotoila mcute
Yup, ya JS niliiona Ytubeβ¦
Macho yako good
Babu Leo amekamatwa.
Anyways, nitatumia Jamii Forum Money kukutumia
ExactlySifa zake hazina mfano.
Our very own boss lady
Nilikuwa sijaelewa Ujumbe, kumbe unawahusu Vijana wa Leo.
Sisi enzi zetu ilikuwa unamwambia Mama Bhoke ajitayarishe tu wewe ni kulenga shabaha basi
Kwa timu ipi mliyonayo ya kutupiga sisi??
Hadi wolves wanawatandika.
Mbona tu kukalia ile nafasi ya 2 hamuwezi
Na tuliwalisha bao Tano kwa nunge.
Nyie hata mkicheza na Dar kwanza,Dar kwanza anashinda.
Huyo profesa wenu wa gengeni ameshachanganyikiwa haelewi hata anafanya nini.
Mashabiki nao wamepoteana mara De Gea aondoke mara Ronaldo Mzee,mara kapteni mlevi yaani ni full burudani.