Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

What goes around always comes around. Be careful on how you treat people

Tumblr_l_464084806521662.gif
 
Sijapata vocha yoyote Mimi na Wala sikuona.
Hebu niambie,unataka nikaibe wapi sasa?
Wewe siyo wa kuiba mdogo wangu
Ngoja nitakuita mida mida kwa sasa bado ninelala
Ila naomba umwambie mama mchungaji Heaven Sent hajafanya fair kabisa mimi nimejitahidi kumuomba aselfike akasubiri nimesinzia ndo anaselfika hapa yaani nimeumia kweli kuikosa hiyo piacha alafu inavyosifiwa sasa😭😭😭
 
Mweeh nikahisi nimeanza kupoteza memory nikajisemea mbona leo sio Valentine's day; kumbe sijapoteza bana.

Enjoy binamu yangu mwaya; ni baraka sana kupenda unapopendwa; namaanisha. Sio Kila mtu amepata nafasi ya kuexperience "mapenzi" ya kweli in lifetime. And the wisest part of you ni kwamba uliamua kumuachilia aliyetaka kuondoka; ukaamua kusamehe na kuendelea mbele; hukubeba uchungu, hasira wala kinyongo. Ungeendelea kumshikilia leo hii ukabeba mauchungu na mahasira yake; hata Mungu akuletea Malaika ungempoteza tu kwa sababu usingeweza kuuona weka/uzuri wake upo busy unawashikilia watu waliokwisha ondoka kwenye maisha yako.

Mshukuru Mungu sana kwa neema ya msamaha; coz for a fact hakuna watu wagumu kudeal nao kwenye mahusiano kama Divorcees; majority wanaishi na bitterness na wapo so frustrated; kwa sababu mioyo yao imejawa na majeraha bado; but see you have come to accept everything finally and move in peace. Aisee uendelee kuvunjaga na hilo agano la ndoa yako iliyopita lisije likanena/kwenda kinyume na ndoa yako mpya. Love is a very beautiful thing; enjoy bina
Sikuona Jana mmeona mda huu asubuhi!!nakupendaga sana halafu sana my binamu thank you for this sio wa kwangu na kwa wengine umewaponya!ahsante rafiki I always appreciate you honey!Love yuuu sana
 
Wewe siyo wa kuiba mdogo wangu
Ngoja nitakuita mida mida kwa sasa bado ninelala
Ila naomba umwambie mama mchungaji Heaven Sent hajafanya fair kabisa mimi nimejitahidi kumuomba aselfike akasubiri nimesinzia ndo anaselfika hapa yaani nimeumia kweli kuikosa hiyo piacha alafu inavyosifiwa sasa😭😭😭
Hayo maombi Kwa HhS nitayafanya nikipata vocha.. ikiwezekana nitakupa picha yake🤣
 
Back
Top Bottom