Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu huyo akikuwekea nitaweka familia yangu yote bila imoj.

Huyo anawekaga kama kimbunga, na harudiagi. Wanaomtingaga sana anawapelekea pm, hao ni wadada tuu.

Halafu unaweza usimuone akichangia saa nne mpaka saa nane usiku, hata umtagi hajibu, jiroge utupie picha, anakuquote anakwambia asante usiku mwema.
Heaven Sent njoo ubishee
Naomba hiyo picha ya familia yako laivu kama ulivyoahidi
 
IMG_20210827_101314_1.jpg
 
Back
Top Bottom