Mambo yale ya qoonyah anye bata akinya kuku kahara! We ukimuita mtu bwege huli ban ila mie nikimwita mtu bwege natiwa kolokoloni as if bwege ni tusi la nguoni!

Ukiona hivyo basi kutakuwa na mod ana bifu na wewe la kimya kimya. Hali hiyo ilishanitokea kipindi fulani. Kila nikiweka ka comment hata kama ni innocent kabisa kanafutwa...