Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
mimi huyu nalala na dada yangu 😭😭😭😭😭
mimi huyu nalala na dada yangu 😭😭😭😭😭
Unashangaa picha live imekuja: no filter


😂😂😂mimi huyu nalala na dada yangu 😭😭😭😭😭
Hivi hii hotel ya vede iko posta? Nashindwa kuelewa, palm village, na Verde, ziko wapi ila naonaga Millard Ayo anapatangaza mnoo, napajua Hyatt regency na johari rotana.Eeeewaaaa.. kitu cha vede keshokutwa usiku![]()






Unashangaa picha live umekuja: no filter![]()





aaaah wee acha uoga bhana mama mtumishi lolhahahaha palm village mikocheni b kwa wariobaHivi hii hotel ya vede iko posta? Nashindwa kuelewa, palm village, na Verde, ziko wapi ila naonaga Millard Ayo anapatangaza mnoo, napajua Hyatt regency na johari rotana.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nimecheka kwa sautii🤣🤣🤣🤣🤣mimi huyu nalala na dada yangu 😭😭😭😭😭
hahahaha palm village mikocheni b kwa warioba
verde (green) znz





khaaaaaah sasa hata najua bas, naonaga Millard Ayo anatangaza palm village na new Verde, uwiiiih locations zake sijui. Nimecheka kwa sautii![]()




unewaza tofauti, kwan kuna tatzo kaka na dada kulala Pa1?uwiiiiiiihHaka ni kachizi sana
Kila mtu analala kwake ila mnawahi kulala mapema




Usiniaambie habari za baadaye.
Usiniaambie habari za baadaye.
Nitakuwa busy kuuza barafu





was kuuza barafu uwe wee? Na sie majobless tuuze nn? KhaaaahKiswahili kigumu sana nkamu🤣🤣🤣😂😂😂
Kila mtu analala kwake ila mnawahi kulala mapema
We si unasemaga unajua pa kumpata usituzungukeMimi hadi nimechoka kuomba




Dada angu hanaga hiyanaNgoja tumuite aje aselfika sasa hivi maana huu ndiyo muda muafaka siyo asubiri ulale ndo apost
Heaven Sent kuna ujumbe wako hapa popote ulipo tafadhali jongea hapa nkamu




Unataka lini nikupikie?Lini utanipikia hivo my ex

Nitakutumia lokesheni😁😁Hivi hii hotel ya vede iko posta? Nashindwa kuelewa, palm village, na Verde, ziko wapi ila naonaga Millard Ayo anapatangaza mnoo, napajua Hyatt regency na johari rotana.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Jamani jamani nkamu bichwa limevimbajeeeNkamu wewe nakutumia zote zilizokupita. Huwezi kupata tabu wakati dada ako nipo hapa




Nkamu huu uhuni wa kufuta picha mapema hivi kabla wengine hatujaona umeanza liniNimeshatupia boss na nimekutag![]()



