Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Utanikuta Kimamba๐๐๐๐ ndio naenda hapo sa hii natokea hapa Chanzuri sec school then napita hapo Ilonga kituo cha afya alafu shwaaa sijui ntaenda wapi tena ๐๐๐
Utanikuta Kimamba๐๐๐๐ ndio naenda hapo sa hii natokea hapa Chanzuri sec school then napita hapo Ilonga kituo cha afya alafu shwaaa sijui ntaenda wapi tena ๐๐๐
๐๐๐ unataka nikadeke wepi sema sasa sema sasa ๐ช๐ชIla huyu mdogo wetu naye anadeka mno jamani khaa [emoji2297][emoji2297]
Hata hivyo vichwa ndo vinakua UDSM tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] vutoto vya UDSM mnajionaga kama mpo Yale vile [emoji3][emoji3].. chuo sio majengo chuo ni kichwa tu
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2142091
Mfyuuuuu.. tuliosoma zoom polytechnic mbona tunawachakaza chakaza ๐คฃ๐คฃ๐คฃHata hivyo vichwa ndo vinakua UDSM tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hao wa hapo, walipenda kuwa UDSM ila tyuuh walishindwa kutumiza azma hiyo, Kwan nan hapendi kuwa UDSM? weuweeeeeeeeeh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
nisikukute sasa.. ๐๐๐๐Utanikuta Kimamba
Kweli haujengwi kwa matofali.... sio mchezo na mwili unaonekana kabisa!! Hope you enjoyed your meal dia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unanichimba biti? Hunikutinisikukute sasa.. [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
๐ช๐ช๐ช๐ช[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unanichimba biti? Hunikuti
hy ni kilosa?๐๐๐๐ ndio naenda hapo sa hii natokea hapa Chanzuri sec school then napita hapo Ilonga kituo cha afya alafu shwaaa sijui ntaenda wapi tena ๐๐๐
ndiohy ni kilosa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unanichimba biti? Hunikuti
Ongea kiswahili ๐คฃ๐คฃEeeeeh mambo haya sasa, wapiiiiih stogimbiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kibati? Mtoto mdogo unacheza vibati vya nini ๐คฃ๐คฃ๐คฃ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi una nn wee? Nimecheka mno, nlipovunja kikoba, upatu, na Mpeano, ndo nkaamua niji bless na tour ya hotel maarufu, nkaanzia Hyatt regency, nkamalizia Johari rotana,
Hebu nitafutie spouse mwenye mawe yake jomoneee, niwe naenda vacations Maldives na Ibiza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Njoo tunywe Coca na maparachichi
Mbona kama niliona picha yako jamaniKibati? Mtoto mdogo unacheza vibati vya nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikutaftie spouse? Haki ya kweli, labda nikusaidie kutafuta sehemu ya kufanyia field
Unataka kusemaje?Mbona kama niliona picha yako jamani