Ndipo spouse anapokupelekaga 🤣🤣🤣🤣Hivi hii hotel ya vede iko posta? Nashindwa kuelewa, palm village, na Verde, ziko wapi ila naonaga Millard Ayo anapatangaza mnoo, napajua Hyatt regency na johari rotana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ila huyu mdogo wetu naye anadeka mno jamani khaa [emoji2297][emoji2297]
Kameelewa sana sema kanajifyatua akili tu hapa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila mtu analala kwake ila mnawahi kulala mapema
Eeeeeh mambo haya sasa, wapiiiiih stogimbiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fanya hivyo bhana.Nitakutumia lokesheni[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi una nn wee? Nimecheka mno, nlipovunja kikoba, upatu, na Mpeano, ndo nkaamua niji bless na tour ya hotel maarufu, nkaanzia Hyatt regency, nkamalizia Johari rotana,Ndipo spouse anapokupelekaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km secondary jaman khaaaah, eti chuo uwiiiiiih.Misele kama kawaida, kidogo hapa kupiga lecture mabinti wasilubunikeView attachment 2142005
😁😁😁 vutoto vya UDSM mnajionaga kama mpo Yale vile 😀😀.. chuo sio majengo chuo ni kichwa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km secondary jaman khaaaah, eti chuo uwiiiiiih.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Anajichetua tuKiswahili kigumu sana nkamu🤣🤣🤣
Anawazunguka eeh?😂😂😂We si unasemaga unajua pa kumpata usituzunguke [emoji3][emoji3]
Halafu nimekumiss siku hizi unapotea kama balimi [emoji849][emoji849]
Nimeokoka mwaka huu, subirini mwakani😂😂Dada angu hanaga hiyana [emoji846][emoji846]
Siku hizi upako wa roho mtakatifu umemshukia amekuwa siyo mchoyo tena wa picha zake [emoji4][emoji4]
Wasalimie na Ilonga MsalabaniMisele kama kawaida, kidogo hapa kupiga lecture mabinti wasilubunikeView attachment 2142005
Kana matatizoKameelewa sana sema kanajifyatua akili tu hapa [emoji1787][emoji1787]
Tumepatikana mwaka huuIla huyu mdogo wetu naye anadeka mno jamani khaa [emoji2297][emoji2297]
😁😁😁😁 ndio naenda hapo sa hii natokea hapa Chanzuri sec school then napita hapo Ilonga kituo cha afya alafu shwaaa sijui ntaenda wapi tena 😀😀😔Wasalimie na Ilonga Msalabani
Kama naliona hilo bichwa sasa😂😂😂Jamani jamani nkamu bichwa limevimbajeee [emoji16][emoji16]
Nakupendaga bure tu dada yangu [emoji7][emoji7]