cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Hebu weka hiyo ya kuzima JF kwa muda?Niko ndani ya blanketi mkuu, naomba niselfike kesho sasa hivi nawezasababisha jf izime kwa muda![]()





Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hebu weka hiyo ya kuzima JF kwa muda?Niko ndani ya blanketi mkuu, naomba niselfike kesho sasa hivi nawezasababisha jf izime kwa muda![]()





Akiweka nitag 😜!
Najua pa kumkamataMaumivu ya kuikosa picha ya mama mchungaji hayaelezekiii, muukize Shimba Ya Buyenze au Saint Anne
Ndiyo
Kichwa kizuri Cha kurithisha
Ooooh kumbe ulikua unyakini? Leo ndo umeingia Dar? Sikua najua hata.Ndiyo
Nimeingia si muda toka green cityView attachment 2141661
Kama kawaida, nimechelewaNdiooo... pendeza sana ma mchungaji.
Ungejua ungekuja kunipokea?Ooooh kumbe ulikua unyakini? Leo ndo umeingia Dar? Sikua najua hata.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Duh! Nimepitwa tena jamani jamani 😪😪Na huyu 9.8ms squared yeye ndo anapitwa mda wotee.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wengi tunaumiaga sema basi tu wengine tunaogopa kuomba tutaonekana wasumbufu maana tunapitwa kila siku tutaomba ngapi sasaSifa za kumuumiza roho ilhali hakuna lolote![]()


Mimi hadi nimechoka kuombaWengi tunaumiaga sema basi tu wengine tunaogopa kuomba tutaonekana wasumbufu maana tunapitwa kila siku tutaomba ngapi sasa![]()
Ngoja tumuite aje aselfika sasa hivi maana huu ndiyo muda muafaka siyo asubiri ulale ndo apostWengi tunaumiaga sema basi tu wengine tunaogopa kuomba tutaonekana wasumbufu maana tunapitwa kila siku tutaomba ngapi sasa![]()
Tena ningekuja kukupokelea msamvu,Ungejua ungekuja kunipokea?



