Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Apige nyingine upyaYaan hadi huruma kwa kweli, arudie upya na asivae barakoa wala kofia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Apige nyingine upyaYaan hadi huruma kwa kweli, arudie upya na asivae barakoa wala kofia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Haya muuza mafafu, vua hvyo vifaa vyako vya kazi, afu weka picha tena hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni muuza madafu
Vocha zenyewe wa voda hatupatiTusubiri vocha tu sasa hamna namna
Hizo ni sifa za mama mchungaji kama alivyoonekana jana live bila chenga waliokosa kweli wajinyonge tuuAaaaaaah hizi ni sifa za nani jamani?
Mama mtumishi wetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaaaaah hizi ni sifa za nani jamani?
sikupendii 😢😢😢😢 unanihujumuAbeeeee
Leo zitafika mitandao yooteVocha zenyewe wa voda hatupati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema wee, nikisema mie nna nongwa weuweeeeeeh.Hizo ni sifa za mama mchungaji kama alivyoonekana jana live bila chenga waliokosa kweli wajinyonge tuu
Za halotel pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo zitafika mitandao yoote
Usibanduke
Eeeewaaaa.. kitu cha vede keshokutwa usiku 😋😋Hebu sema nikupokeleee wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
@Saint Anne huyoooMama mtumishi wetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
😁😁😁😁 hujui tz tuna shida ya ajira.. tumeona balaya ya kuwa wezi bora tushinde zetu JFChapeni kazi kwanza mlijenge Taifa
Tutatupia tena baadaye
Baadae utaona cc angu, [emoji23][emoji23][emoji23]Kwendaa
Kaongo wewe.
Kwanza nipe picha yako,sikuona.
Nyie watu kwa upambe siwawezi. Mnampamba mtu hadi anajaa anaselfika miphoto kama yote; kumbe mweeehHizo ni sifa za mama mchungaji kama alivyoonekana jana live bila chenga waliokosa kweli wajinyonge tuu
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema wee, nikisema mie nna nongwa weuweeeeeeh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kutoka moyoni? Mnalala sana na dada yakosikupendii [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] unanihujumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan muoga wee mama mtumishi aaah.Baadaye nikishatoka. Tusije tukakutana mipuyangoni na minguo yangu.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi wetu.
ina maana gani?Hii code ya kwetu unyakini😅