Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uko mrembo mzuri mzuri, lazima uambiwe wee n mnyaturu, km mie navoambiwa eti mrangi, akat ni mngoni pure wa peramiho.
Wanasemaga mtu wa Tanga nikiwambia wa Kusini hukoo wanashangaa!!!kuna Dr mmoja ndo aliua bendi nilimpeleka baba Hosp nilimtajia kabila langu alibisha Sana'a

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom