cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,173
Weuweeeeeh rangi ya mtumee,





Weuweeeeeh rangi ya mtumee,





Huyu mrembo bwana!Ndo mashangazi zangu nyie, wala sina wasiwasi, ndo zakwetu hizoo.
High heel inafanya mtu awe comfortable baasi tu!!na ukiwa mrefu wanooga balaaa!Yaani ungekuwa unaniona nikishavaa huyo tuheel; ninavyojiona nimeyapatia maisha kuliko mwenye Range. I enjoy being tall honestly![]()
Ndo mashangazi zangu nyie, wala sina wasiwasi, ndo zakwetu hizoo.



Lect nna hangover ya pepa lako, yaan sio kwa pepa lile, na ole wako unipe B najua kabisa nna A, afu kuhusu picha kesho usiku, nakuahidi lect wangu.Student tubariki na picha moja![]()



Sasa ungetuma muamala nkanunue ,ulituma muamalaKweli umeamua kunisagia kunguni.
Yani wewe nilikuambia hapahapa jukwaani, nikufate huko kwako, ukadai "ooh me nimeshajifungiaa, nitumie muamala", leo hii unanilaumu mimi kiasi cha kunipondea kwa mama mchungaji

?!!ulinioshaaaa !!;;Ulienjoy eehNdinga ya viwango, nliwahi kukanyaga mafuta sku 1 daaah, nisiseme sana lol
Rudia picha yako hiyo, umefuta haraka sijaona
Mwenzio nkiona mtu kavaa skuna yaan hadi nataman kulia, namuonea huruma km anateseka vile.Ananoga avae hvyo hvyoo!!yaani anapendeza balaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app




Na mimi sijaona
Ahadi ilikua kula mbuzi pamoja, sio kila mtu kijifungia na mbuzi chumbani kwake.Sasa ungetuma muamala nkanunue ,ulituma muamala?!!ulinioshaaaa !!;;
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yaani ungekuwa unaniona nikishavaa huyo tuheel; ninavyojiona nimeyapatia maisha kuliko mwenye Range. I enjoy being tall honestly![]()





mama malezi umenishinda tabia sikuwezi. WallahUpo busy sana na jf lazima ufeli!.. picha kesho mida gan niweke alarm kabisa?Lect nna hangover ya pepa lako, yaan sio kwa pepa lile, na ole wako unipe B najua kabisa nna A, afu kuhusu picha kesho usiku, nakuahidi lect wangu.
Vipi sasa no ya waiter?![]()
Arudiee
High heel inafanya mtu awe comfortable baasi tu!!na ukiwa mrefu wanooga balaaa!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app




aaaah wapi wee............✌✌