Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hebu muombe airudie ya leo.
Inaonekana we ukimuomba hachomoi.

Sina deni na wewe.
Ulichagua kujifungia ndani.
Kujifungia wapii!ulinikaushia ukija uniletee kuku wa Tango Bar na juice yao!tafadhali na kama kuna mwana jf wa Dom afanye hvyo anipeleke tango nkale kuku wa kienyeje na juice ya Karanga[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mmeona wallahi!kishunduu!huna tumbo!mremboo!!itoshe kusema [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]!!!beautiful aseehh!kishundu kwio sana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Huoni mbele nimeicrop sana? Kitambi ndiiii
 
Kujifungua wapii!ulinikaushia ukija uniletee kuku wa Tango Bar na juice yao!tafadhali na kama kuna mwana jf wa Dom afanye hvyo anipeleke tango nkale kuku wa kienyeje na juice ya Karanga[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mara ya mwisho nilikula kuku mbichi pale, palinichefua kweli. Ila kabla ya hapo, nilikua naenjoy sana kuku wao.

Jiandae keshokutwa jioni uwe standby
 
Mara ya mwisho nilikula kuku mbichi pale, palinichefua kweli. Ila kabla ya hapo, nilikua naenjoy sana kuku wao.
Pole sana aseehh!ilikuaje?!![emoji28][emoji28][emoji28]looh!sasa fanya baasi unipeleke miye,maana Dodoma nzima napajua pale na Msalato nilipelekwa na shoga angu

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom