cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Good morning Mama Mchungaji. Mwambie reymage kuwa alintia mzuka Sana.
Usihadaike bana; hizo ni sifa za kunijaza niselfike
Mkuu nakuhurumia saaana!
Nilishasema hapa kuwa "ogopa matapeli. Hakuna Mnyaki ambaye hana (li)kishundu". Mwisho wa kujinukuu![]()

Unavyomsifia hivi unadhani Mimi najiskiaje. Acha unyanyasaji

Halafu kazi ya kumsifia Ke aachiwe Me
KabisaHalafu kazi ya kumsifia Ke aachiwe Me




juzi haujaonekana kabisa humu, alikuwa nakuuliziahahahaha Tinsley kanitafuta lini?
mmh mie huyu nauliziwa na Tinsley? Hata siamini .niko tyt,nakaribia kurudi porinijuzi haujaonekana kabisa humu, alikuwa nakuulizia
hahaha amini tu Uncle..mmh mie huyu nauliziwa na Tinsley? Hata siamini .niko tyt,nakaribia kurudi porini
hahahaha niko poa rafikiUlipotea rafiki
Habari ya leo ?
ewaaaa... anarudi polini.. nenda na uncle.. mkale nyama poli vile vi swala vitamuuUlipotea rafiki
Habari ya leo ?