Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanasemaga mtu wa Tanga nikiwambia wa Kusini hukoo wanashangaa!!!kuna Dr mmoja ndo aliua bendi nilimpeleka baba Hosp nilimtajia kabila langu alibisha Sana'a

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
huwa nacheka sana mie kila nakopita eti mie mrangi khaaah, jaman huo urangi nautoa wapi?

Kuna siku nusu mtu aweke ugomv wa familia kat ya baba na mama, eti kaja home yupo sitting room wanazungumza, sasa mie kwenda nkapita nje, si akaniona akauliza wazaz "huyu ni mwanenu?" Akajibiwa ndyo kwann asihamaki na kuropoka kwa nguvu "wee mama mueleze vizuri baba kuhusu huyu mtoto" wenzake wakacheka tyuuh wala hawaku mind, ile siku nlijisikia vibaya mnooo. Khaah

Uraiani ndo naambiwa mie sie mngoni, wamekazania mrangi tyuuh. nakerekwaga mie.
 
Back
Top Bottom