Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Kwa kweli leo na mie nimepata bahati ya mtende [emoji16][emoji16]Nkamu umetokea wapi lakini?[emoji28][emoji28]
Kwa kweli leo na mie nimepata bahati ya mtende [emoji16][emoji16]Nkamu umetokea wapi lakini?[emoji28][emoji28]
Watu na miguu yenu na ya wenzenu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji851]View attachment 2135514
😃😃😃Watu na miguu yenu na ya wenzenu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Asante sana kwa mishono mizuri ma mtumishi nakuaminia wa leo pia iko bien!!Mmejua kunisurprise.
Guu guu [emoji3577][emoji3577][emoji3577]![emoji851]View attachment 2135514
Mmmmmmmmh[emoji851]View attachment 2135514
Acheni kuntamanisha basi.Leo nimembahatisha Mama Mchungaji laivu uwiii !!! [emoji1727][emoji1727][emoji1727]
Fayaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mulangira bado uko mikoani au usharudi Dom? [emoji16]Acheni kuntamanisha basi.
Hahaaaa sijawahi kuishi Dodoma zaidi ya siku 4. Unaishije sehemu maji ya chumvi, umekuwa Kolekole!Mulangira bado uko mikoani au usharudi Dom? [emoji16]
...God Himself is Love [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage.We are most alive when we are in love." "The only thing we never get enough of is love; and the only thing we never give enough of is love. There is only one happiness in this life, to love and be loved.View attachment 2135546
Aisee! Ishakuwa shida huku...jamani!![emoji851]View attachment 2135514
MimiUsije huku; waumini wangu wengi wana misambwanda. Hutopokea chochote ibadani[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!Yaani watu tumeibuka from nowhere. Mama Mchungaji una ushawishi wa hali ya juu. Ningejua huduma yako iliko huko Uyole aisee ningefika kwa ajili ya maombezi wallahi!
Imagine mi wala sikuwa na hili wala lile lakini Roho Mtakatifu Akanishawishi kufungua uzi dah!
Shem darling[emoji7][emoji851]View attachment 2135514
Ivi kumbe anacho ee..Binamu kishundu choote hichooo!!!pleasew!nipunguzie na miye tafadhali!
=77694]JamiiForums mobile app[/URL]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heshima kwako mama malezi, na hizo skuna huumii kweli?Usianze uchambuzi juu ya mama Mchungaji tasavaliiiiii[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]